HAYA NDIO MANENO YA NIKKI MBISHI YALIYOWAUMIZA MASHABIKI WAKE KWA KUACHA MUZIKI:KWA NINI AMEAMUA KUFANYA HIVI?

HASHIMU DOGO MWENDAWAZIMUU..../ NIKKI MBISHI KATUACHA NA KITENDAWILI KILICHO KOSA JIBU MUHIMUU....!!
UTAMWAMBIA NINI?? AU NDIO NYAKATI ZA MASHAKAA????
" I'm Glad To Say I've Officially Decided To Quit Music....Wishing All The Best To The Sloves And Victims Of Music Industry", Ametweet Rapper Huyo.
" Nitaziachia Tracks Zangu Zote Ambazo Hazijatoka For Free Then, SITOINGIA TENA STUDIO Kufanya Wimbo ( MUZIKI BASI).
bora Kuwa JAMBAZI Kuliko MWANAMUZIKI. Tusije Kushikiana Bunduki Bure Maana Milango Ya Kutoka Kimaisha Ni Mingi Na Muziki Ni Burudani Na Biashara Sio Vita. Industry Full Of Stupid And Illiterate But Rich And Famous. Mpaka Linitutauza UNGA Kwa Kivuli Cha Kuwa WASANII!!
HAYO NDIO BAADHI YA MANENO ALIYO SEMA NIKKI MBISHI a.k.a ZOHAN.
NAAM NAAM:; Huku Nikki Akisema:; Muziki Ni Burudani Na Biashara Sio Vita Na Mpaka Lini Tutauza UNGA kwa Kivuli Cha Kuwa WASANII, MBISHI Anasema Tena Kwa Kuona Muziki Aujamlipa Na Kuendelea Kusema Ni Bora Kuwa Jambazi Kuliko Mwanamziki??... Na Maneno Kibao Kama "Hakuna Mtakacho Nibabaisha Mkitaka Niuweni"! CHA AJABU ALIPOSEMA:; HASHIMU DOGO ALIONA MBALI?? KI VIPI?? Wakati Hashimu Yeye Alitupa Jibu kamili La Kitendawili Chake Alipoacha Kufanya Muziki Wa Hip Hop Akidai Kuwa DINI Ndio Chanzo Kilicho Mfanya Tumkose Kwenye UTAMADUNI HUU WA HIP HOP.
HASHIMU DOGO AKISEMA:; Wenye Matatizo Na Shida Zao/ Yataa-kuja Kimpango Wake Mafao/ (Muziki Ni Starehe Yangu Hata Ungekuwa Hauna Hela Ningefanya) Hapa HASHIMU DOGO Anatuonesha Akuacha Mziki Kwa Ajili Ya Pesa Na Anakiri Kuwa Hata Ungekuwa Hauna Hela Angeufanya Mziki Huu!!
NIKKI MBISHI AKISEMA:; Mziki Ni Burudani Na Biashara Sio Vita, Huku Kuona Aujamlipa Na Kuanza Kusema Ni Bora Kuwa JAMBAZI Kuliko Mwanamziki!! Sasa Je Hii Kauli Ya Nikki Mbishi:; HASHIMU DOGO ALIONA MBALI?? JE NI WAPI HAPO?? BADO NAWAZA KAULI YAKE!!!
Huku NIKKI MBISHI Akikata Tamaa Ya Kimziki Kua Aujamlipa Na Kusema Bora Kuwa Jambazi Kuliko Mwanamziki Na Kutangaza Kutoingia Tena STUDIO Kufanya Wimbo ( Yaani Muziki Basi)
HASHIMU DOGO Hakulala Mika Kuwa Muziki Haumlipi Bali Alisema Tu:;
"Mungu Nipe, Mungu Nipe Vitu Vyote Vya Thamani../ Ebana Eeh Mungu Sio Athumani..../ Mawazo Yangu Yana Busu Sakafu Ya Mahabusu.../!!
MIMI BADO KAULI YAKE HII NIKKI MBISHI NAITAFAKARI, HASHIMU DOGO ALIONA MBALI!! JE NI WAPI?? TUJIULIZE??
NB::TUJIULIZE JE JIBU KAMILII LA NIKKI MBISHI NI KUTOPATA FAIDA YA MZIKI WAKE!! AU AMEFATA MKUMBO TU, KISA FULANI ALIFANYA IVYOO??? BADO NAJIULIZA NITAKUJA TENA NA MADAA NYINGI KUHUSU HILI!!
CREDIT TO:
(C) Abrah.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment