Wasanii kutoka Tanga ambao walikuwa kimya kwa Muda Mrefu kidogo na Hatimae kwa sasa Wamerudi tena katika Game, WAGOSI WA KAYA, Wanatarajia kuachia Album yao Mpya ambauyo imepewa jina la UAMSHO.
Wagosi wa Kaya wamesema kuwa Katika Ulbum Hiyo watashirikisha Wasanii wengi tu na Hasa wale ambao walitamani Kufanyanao Kazi.
"WASANII AMBAO WAMEPENDEKEZWA SANA ILI TUFANYE NAO KAZI KATIKA NYIMBO NI PAMOJA NA JUMA NATURE,ROMA NA WENGINEO WENGI TU........NAAMINI HATUJAWAHI KUFANYA KAZI NA WASANII WENGI ILA KWA HESHIMA YENU MASHABIKI TUTASHIRIKIANA NA HAO MLIOWACHAGUA NA WENGINEO TUTASHIRIKIANA NAO NA MTAWASIKIA KWENYE ALBUM YETU YA # UAMSHO!!!!!.......HATUTAWAANGUSHA KAMWE!!!!!!" Walisema Wagosi -
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 comments:
Post a Comment