UJIO WA ALBAM MPYA YA 50 CENT NA COVER YA ALBAM HIYO


Baada ya kutangaza kuondoka Shady Records, Aftermath Entertainment na Interscop tarehe 20 February, pamoja na kutangaza ujio wa album yake mpya Animal ambition June 3, leo hii ametoa picha ya cover ya album hiyo pamoja na list ya ngoma zitakazokuwemo.

Animal Ambition ni album y akwanza ya 50 tangu kuondoka katika studio hizo na kutarajiwa kutoka kupitia makubaliano mapya ya Caroline/Capitol/UMG. Caroline hivi karibuni wamesimamaia usambazaji wa album ya Korn na  E-40.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment