Hiki ndicho alichokisema Diamond baada ya wimbo wake "Kitorondo" kuvuja

Ule mpango wa watu kuvujisha nyimbo za wasanii kwenye mitandao tena zikiwa hazijakamika kamemkuta tena Msanii Diamond Platnumz.

Wimbo wa Diamond unaoitwa Kitorondo umevuja na kusabaa kwa kasi kupitia blogs mbali mbali pamoja na mitandao ya kijamii. hiki ndicho alichokisema


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment