WASANII WA AFRIKA ZAIDI YA 20 KUUNGANA NA DIAMOND PLATNUMZ NA A.Y KUFANYA WIMBO MMOJA..!!

Platnumz na AY ni miongoni mwa wasanii 20 wa Afrika watakaosikika kwenye wimbo wa pamoja wa wasanii wa barani Afrika kwaajili ya mradi uliopewa jina ‘Do Afric’ unaowasisitiza Waafrika kujihusisha na kilimo. Jumanne hii wasanii hao wameshoot video ya wimbo huo.




 AY akiwa na msanii mkongwe wa Nigeria, Femi Kuti


 Diamond na D’Banj wakiwa studio nchini Afrika Kusini

Muimbaji huyo My Number One, Diamond alipost picha akiwa studio na D’Banj pamoja na wasanii wengine nchini Afrika Kusini, kuashiria kuwa mchakato wa kurekodi wimbo huo umeanza.


Jumanne hii wasanii hao walijumuika pamoja kwenye mkutano na waandishi wa habari







Kampeni hiyo inawataka wananchi wa Afrika kuungana kwa pamoja kuwataka viongozi wao kutimiza ahadi yao ya kuwekeza asilimia 10 ya bajeti za nchi kwenye kilimo na kuwasaidia wakulima wadogo.
 Mwana FA, AY na D’Banj
“Something VERY exciting happening in JHB today – @iamdbanj & 22 artists arriving for biggest music collab ever in Africa for #doagric,” wameandika One Campaign kwenye akaunti yao ya Twitter.




FA, Diamond, Victoria Kimani na AY
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment