Hatimaye bilingual beast, Wakazi ameachia ile verse ya Control alioahidi kuwa itawashitua wana hip hop.
Rapper huyo ameachia audio na video ya verse hiyo ikiwa na mashairi yanayowataja rappers wengi wa Tanzania na amechanganya lugha mbili kama kawaida (bilingual), huku akijigamba kuwa mkali zaidi na mrithi wa Fid Q wa Mwanza.
Sio rappers tu waliguswa kwenye ‘Control Verse’ ya Wakazi inayotumia mdundo wa Original Control ya Big Sean akiwa amewashirikisha Kendrick Lamar na Jay Electrica, amewarushia dongo DJs na Radio Station aliodai wanataka kuua uhusika wake kwenye game.
Tofauti na ile verse ya Kendrick Lamar iliyoleta gumzo Marekani, Wakazi amefanya wimbo mzima kwa verse moja tu.

0 comments:
Post a Comment