WWW.STREETCONSCIOUS.BLOGSPOT.COM
Wakati biff la Nas na Jay Z lilipokuwa hot, hakuna aliewahi kudhani kuwa watakuja kumaliza biff hilo, inamaanisha kabisa kama biff hilo liliisha basi hakuna biff inayoshindikana kuisha.
Nas na Camron pia walikuwa na tofauti zao ambazo zimedumu kwa takribana miaka 10 sasa, hasa baada ya Killa kuwa upande wa Jay, na kuja na baadhi ya ngoma zilizokuwa zikimdiss Nas, na tangu kipindi hicho hawakuwahi kumaliza biff hilo.
Picha mpya inayowaonyesha wawili hao wakiwa pamoja wameshikana mkono imeonekana akaunti ya instagram ya Cam'rom aliyoituma siku ya jana ambapo inasemekana walikutana tu kwa bahati mbaya pale walipokuwa wakisafiri katika ndege moja kutoka Las Vegas kwenda New York.


0 comments:
Post a Comment