Rapper Nas Anasema Hawa Wanne Wataikomboa Hiphop 2014.


Nasir Jones aka Nas ni mmoja ya Mc wakali sana duniani waliowahi kushika microphone. Utafahamu kuwa Kijana huyu kutoka Queens, New York aliyewahi kutingisha dunia na album yake ya Illmatic amezungumzia rapper wake wakali anaowakubali kwa sasa.
Hii Ndio Orodha Yake
1] Mac Miller
1
2] Drizzy
3
3] Kendrick Lamar
4
4] J.Cole
5
Kama unakumbuka mwaka 2006 Nas alisema Hiphop Imekufa “Hip Hop Is Dead” na baada ya miaka nane sasa Nas Esco amebadilisha mtazamo wake na anaamini muelekeo wa Hiphop ni mzuri mwaka 2014 sababu ya wasanii hawa.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment