Mswaki kasema Baada ya Open Leter ,mpaka sasa amefanikiwa kurikodi kazi moja inaitwa ‘Ghetto’ na inazungumzia watu wakubwa na maarufu waliogusa Jamii na sasa wametutoka.
Kuhusu mapato ya kazi hizo Mswaki amesema atahakikisha kuwa kinachopatikana Kinarudi kwa Familia Ya Ngwear maana hio ndio sababu ya kufanya hivyo.
Pia keeping Ngwear’s voice alive ndio jambo la msingi hapa. Utasikia material mpya kwa sauti ya Ngwear kila mwaka.
Mswaki pia amesema studio yake mwaka huu inampango wakufanya kazi na wasanii wa nje ya Tanzania na tayari amewasiliana na Keko Na Stella Mwangi [S.T. L] .

0 comments:
Post a Comment