Sad News: Dj mkongwe nchini Rankim Ramadhan afariki dunia


streetconscious.blog

Dj maarufu na mkongwe nchini Rankim Ramathan, amefariki mchana huu katika hospitali ya Mwana Nyamala. Rankim amefariki dunia akiwa anaugua ungonjwa wa
Appendix kwa mujibu wa kile alichokiandika kupitia ukurasa wake wa facebook November 4.

Hujafa hujaumbika bandugu! @ my house now hoi trying to fight for my life afta being released from palestina this morning...

Rankim Ramadhani Madokta wanasema ni apendix ndiyo inayonisumbua hapa sijala toka jana maumivu tu ndiyo yananitesa tumbo na mbavu vinauma sana na ss hv nachoma kristapen ya tatu kwa leo but theres no releaf
Katika uhai wake Rankim ameshawahi kufanya kazi na Clouds Fm Redio pamoja na redio nyingine nyingi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment