WITNESS AWACHANA WATU WANAOMTONGOZA KUPITIA FACEBOOK


WITNESS
Kupitia account yake ya Facebook hiki ndicho alichokiandika mwanadada witness...
Jamani humu sisi ni marafiki sawa? ninawapeni tu dondoo kwa wale mliozoea kuniita,bby,mrembo wangu,mpenzi swthrt na kutamani kuniona kwa nia zenu za kimapenzi leo ninawachana live, mimi huwa ninatumia akaunti yangu ya facebook na mpenzi wangu na anapassword zote so msijichoreshe kwa kunijaribu,na kwa kuwa tuna aminiana mtu akileta hizo tu tunamblock iwe kwenye akaunti yake ama yangu,so usifanye hivyo ninakusihi ili usipoteze hata chembe ya urafiki uliopo wa fb, much love
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment