www.streetconscious.blogspot.com
Madee sasa amepania kutanua soko lake la muziki na kusafiri hadi Kenya ili kutengeza video ya wimbo wake mpya wa Tema Mate Tuwachape. Hii ni mara ya kwanza kwa msanii Madee kufanya video yake nje ya nchi.
Madee ni mmoja wa wasanii wa bongo flava waliopata mafanikio makubwa sana katika soko zima la bongo flava
Madee ni mmoja wa wasanii wa bongo flava waliopata mafanikio makubwa sana katika soko zima la bongo flava

0 comments:
Post a Comment