eya anatarajia kuachia Music video mpya ya wimbo uitwao Inanichosha, Na pia katika track hiyo watakuwepo wakali wengine ambao wamshirikishwa, atakuwepo mkali kutoka Mwanza fid Q, rapper J Mo na pia mwana dada mahiri Shaa, kaeni tayari kwa huu ujio wa Izzo Bizness akishirikiana na wazoefu wakali kwnye game.. Tazama Video Clip aliyopost Rapper Izzo B kwenye account yake ya Instagram akiwa na Fid Q studio wakipiga kazi …
.
0 comments:
Post a Comment