Chris Brown Akamatwa Na Polisi Washington DC


www.streetconscious.blogspot.com

NEWS; CHRIS BROWN JANA AMEPATWA NA MSALA MWINGINE NA SASA YUPO SERO !

Msanii Maarufu wa RnB Chris Brown a.k.a Breezy Amekamatwa jana mitaa ya Washington DC huko USA kwa Kosa la Kumpiga Mtu Mmoja ambae chanzo kinasema alitaka kumpiga Chris Brown picha, lakini kwa Upande wa Chris yeye anadai Jamaa alitaka kuingia kwenye gari lake na Ndipo akaamua kumzuia kwa Kumpiga Konde 1 Zito Puani na Kusababisha Kuvuja damu. Kwa Sasa Chris brown Yupo Sero kwa Muda hadi Kesi itakapo funguliwa. Hii nio mara ya Pili kwa Chris kukamatwa kwa Kosa kama hili , 2009 alimpiga Rihanna na Kupewa adhabu ila kwa Sasa inadaiwa kuwa Akipatwa na Hatia itabidi afungwa kwa Miaka 4 kwani amekiuka Mashart aliyopewa ya Kutopigana au kumpiga mtu yyte. 

DAAH, Kweli Breezy anayo Balaa... Tusubiri kuona nini kitaendelea.

SHARE NA WASHKAJ WAJANJA #SNWW
Sponsored by > http://on.fb.me/15QaZzX
Mwanamuziki wa Pop na R&B Chris Brown akamatwa leo saa  4:25 a.m. asubuhi (0825 GMT) na kutiwa mbaroni na Polisi akiwa jijini Washington DC Marekani kwa kosa la kupigana na mtu ambaye haikujulikana ana uhusiano gani na msanii huyo, mtu huyo aliyefahamika kwa jina la Christopher Hollosy na yeye pia alikamatwa na polisi lakini alipelekwa Hospital kwanza, Chris Brown ambaye kwa sasa anatumikia adhabu ya kazi za kusaidia jamii kutokana na kosa la kumpiga aliyekuwa mpenzi wake Rihanna na pia hivi karibuni kukutwa na hatia ya kugonga mtu na kukimbia jijini Los Angeles ambapo aliongezewa adhabu ya kusaidia kazi za kijamii kwa muda wa masaa 1000.
Ofisi ya uwanasheria jijini Los Angeles imemshtaki mwanamuziki huyo kwa kosa la kukwepa kutumikia adhabu yake ambayo Chris Brown anatakiwa kuitumikia baada ya kupewa ruhusa ya kutumikia adhabu hio nyumbani kwao Virginia.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment