Rick Ross Is Still Lookin’ For That Special Lady!

Itc a long period of tym Rick Ross amekuwa hajahusishwa na kashfa za kimapenzi au hata kuonekana akiwa karibu na mpenzi wake kitu ambacho kimezua maswali mengi miongoni mwa watu wanaomfuatilia rapa huyo.Hivi karibuni Rozay ameonekana kulainika kinoooumer na mwanamke mmoja aitwaye Shateria Moragne ambaye ni mwanamitindo wa marekani.Mwanamke huyo pia ameonekana kuhudhuria mara kwa mara shows za Rozay maeneo mbalimbali hata nje ya marekani kitu kilichoashiria kumkubali mchizi....Hivi karibuni wawili hao wawili hao walionekana wakiwa wamepozi pamoja kwenye Red Carpet lakini Rozay aliandika katika mtandao wa Twitter'''I'M FLATTERED BY THE RUMORS BUT....THE BOSS IS STILL SINGLE LADIES''.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments: