M-Rap toka B'hitz Music Group
Tz, baada ya DESTINY anakuja na ngoma nyingine. Ni muda sasa toka kuachia
ngoma yake chini ya producer Pancho Latino na Hermy B, M-Rap
amesema wakati wowote kuanzia sasa atakuja na ATTENTION ambayo amemshirikisha tena "DEDDY".
Lion amesema, Watu wangu wakae tayari muda wowote kuanzia sasa ntaachia huo mzigo. #ATTENTION....
Lion amesema, Watu wangu wakae tayari muda wowote kuanzia sasa ntaachia huo mzigo. #ATTENTION....
"Usiniuzie cheni feki ntakupa
pesa ya bandia|ukijidai unanisntch ntajifanya sijakuskia. Poa
yataingilia kushoto afu ntayatolea kulia|huwezi ukajiua kwa kubana pumzi
yako, heheeee UTAUMIA ..Hayo ni baadhi ya maneno kwenye ngoma hiyo.....
0 comments:
Post a Comment