Ni ngoma ambayo imemrudisha msanii Madee toka Tip Top na imefanya poa cana. Lakini kuna uvumi uliozagaa kwamba nyimbo zote mbili hapangoma hiyo ya SIO MIMI a.k.a NANI KAMWAGA POMBE YANGU madee amekopi toka kwa msanii anayeitwa AMA THE MAKER uitwao ULE MSONGA?Angalia video za
.....

mh!!!! sijui
ReplyDeleteHamna kitu hapo,madee kafanya poa.
ReplyDelete