HII STYLE YA KUVAA VIATU TOFAUTI NEY WA MITEGO ANAMAANISHA NINI HASA?D'BANJ JE?

Kwa muda mrefu 2mekuwa 2kimshuhudia msanii NEY WA MITEGO akiwa na style yake ya kuvaa viatu vyenye rangi tofauti yaani kila mguu na rangi hasa kwenye video za nyimbo zake na hasa kewnye shows.Hivi juzi 2 alikuwa na uzinduzi wa ngoma yake ya MUZIKI GANI aliomshirikisha Diamond na waliizindua katika ukumbi wa Dae Live.....kama kawaida yake alivaa tena viatu tofauti a.k.a mazengo.Lakini pia style yake nyingine anapokuwa jukwaani ni kuvua shati na kutumbuiza akiwa kifua wazi staili ambayo pia Platnum huitumia cana.Sasa siku ys jumamosi tarehe 18 mwezi huu kulikuwa na show kubwa ya MTV ALL STARS CONCERT iliyofanyika Durban  Africa kusini ikiwahusisha wasanii kibao.Mmoja kati ya wasanii waliofanya show hiyo ni COCO MASTER D BANJ toka Nigeria ambae alitinga jukwaani akiwa amevalia viatu upande kama Ney....Nini maana hasa ya Staili hii?Cheki picha hizi
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment