BAADA YA KUACHANA NA SALMA JABU 'NISHA' NEY WA MITEGO AJIWEKA HAPA..WANATARAJIA KUPATA MTOTO


So much is happening in the Bongo Flava scene!! TID anataka kuoa, Nurah anatarajia kufunga ndoa June 8 na sasa Nay wa Mitego naye anategemea kuitwa baba, basi raha tupu!!

Kupitia Instagram Nay aka True Boy ambaye hivi karibuni amekuwa dhahabu kwenye show za promotion za makampuni ya simu, amekuwa akishare picha za msichana ambaye kwa mujibu wake ni ‘Mama Kijacho Wake’. “Mic u mama kijacho wanguuuuuuuu…” aliandika hivi karibuni kwenye picha ya msichana huyo.

Msichana Huyu Anaitwa Wema na ni Mfanyakazi wa Precision Air Mwanza
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment