EXCLUSIVE:BAADA YA KUTOELEWANA KWA MUDA '' HII NDIO STATUS YA MAHUSIANO YA JAY DEE NA BEN POL KWA SASA

1st of all thanks 2 SAM MISAGO 4 THIS

Kutoka katika kazi mpya ya Ben Pol 'Najikubali' teaser ambayo ameitoa hii leo, 'attention'  ya watu wengi imeibuka hasa baada ya msanii huyu kusikika amemtaja bi dada Lady Jay Dee ambaye kwa sasa asilimia kubwa ya watu wanawachukulia kuwa wao ni mahasimu na hawaelewani.


Ben Pol ameweka wazi kuwa, Kazi hii aliirekodi kabla ya 'tiff' lake yeye na bi dada na hivyo hata baada ya mapito ameona si issue kuedit, lakini pia msanii huyu  amefafanua status nzima ya mahusiano yake na Lady Jay Dee kwa sasa hasa ikizingatiwa kuwa wawili hawa walipishana maneno mtandaoni siku kadhaa zilizopita.... na hapa Ben Pol anaeleza.

Msikie Ben Pol akifafanua mahusiano yake na Jide hapa;

Sikiliza Teaser ya Jikubali hapa;

Hii ndio habari kutoka kwa Ben tarehe 30 mwezi huu;


UDDATED 1839HRS; [KUTOKA TWITTER JAY DEE NA BEN POL]
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment