Ule muziki unaofanya vyema sasa hivi katika redio mbali mbali nje na ndani ya bongo muziki gani ulioimbwa na wasanii wawili Ney wa Mitego na mwenzie Diamond Platnumz umefanyiwa video matata chini ya mtu mzima Adam Juma na hayo hapo chini ni maneno ya Diamond aliyoyaandika katika blog yake soma na undelee kuangalia picha
Matayarisho yakianza....!! kwa Ney |
Lights On.....Camera On Set....!! |
Mara Bangi ,Mara Matusi sa ndo Muziki gani....? |
Usafii kama kawaida .....!! |
DJ Ommy Crayz in town akiwa na msanii nguli kutoka South Africa Qboy Mnyama....!! |
Dada Halima kimwana alikuwepo asubuhi asubuhi kuakikisha mambo yakienda saawia...along side with Twins Fashion...!! |
Diamond Platnumz with Flowers....! |
From Left to Right.....Qboy Mnyama...Esma Khan,Faridah,Mariam and the President Himself Diamond...!! |
Bebez wakali waliofurika kushow Love kwenye video ya Muziki Gani...! |
President wa wasafi Diamond Platnumz akiwa na flowers...! |
Ney na warembo |
The Bigdaddy Himself Adam Juma akifanya yake....!! |
Ilikuwa Location upande wa Casino..... |
Baada ya kumaliza shooting ya pale casino,safari ilianza kuelekea sinza kumaliza shooting kwenye Graphic iliyochorwa na Mkong'oto Jazz Band....!! |
WASAAAFIIIIII......!! |
Maandalizi yakaanzia hapa...baada ya kuwasili sinza....!! |
MKONG'OTO JAZZ BAND....!! |
Jamaa huyu ndo aliechora graphics zote kutoka mkong'oto jazz band na kuchora michoro tofauti ....!! |
on set...location #2 sinza....... |
DJ OMMY CRAYZZ...! |
Kwa michezo ya kuringa ringa ndio wanadata.... |
0 comments:
Post a Comment