Rapa mkali wa kike Marekani Missy Elliott ameomba matatizo
anayokabiliana nayo kwa sasa rapa Lil Wayne yaishe na awe sawa tena
kufanya muziki.
Kupitia twitter mwana dada Missy Elliott aliahidi kutoacha kuwa shabiki mkubwa wa muziki wa Lil Wayne kwa kuandika ujumbe huu ”
Prayers up 4 whatever u may be enduring right now this to will pass & may u find PEACE
I will always be a fan of your work
“
Kauli hii imekuja siku chache baada ya Wayne kutishia kuacha muziki.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment