Mwanadada Ruby anayetamba na kibao cha forever amemjia juu msanii wa hip hop anayechipukia Motra the future baada ya Motra kulalamika kuwa Ruby amekataa kuonekana kwenye video ya wimbo wake wa one day aliomshirikisha na kudai kuwa Ruby anaringa kwa vile yeye ni staa.
Motra the future
“Wao walinambia kuwa wanataka kufanya video,lakini mimi pia ninafanya video zangu mbili ambazo zinanibana,pia jinsi walivyonifata na uongozi wake kana kwamba ilikuwa ni lazima wakati mimi nilifanya kama kumsaidia,sio kwamba alinilipa.Who is Motra kusema kwamba ananiforce tuka shoot hiyo video..Mimi nimemsaidia kulikobaki afanye mwenyewe” alifunguka Ruby
0 comments:
Post a Comment