GELLY WA RHYMES AVAMIWA NA VIBAKA

Msanii Gelly wa Rhymes usiku wa jana haukuwa mzuri kwake baada ya kuvamiwa na vibaka akiwa njiani kuelekea club bilcanas kwenda kutoa support kwa Hemed aliyekuwa akizindua wimbo wake mpya wa rest of my life.

Taarifa zinasema kuwa vibaka hao walimkaba na kumsababishia majeraha maeneo ya usoni na hawakumfanyia madhara makubwa na hilo lilipelekea kushindwa kufika kwenye show ya mshikaji wake Hemed,na taarifa hii ni kwa mujibu wa mc wa show hiyo iliyofanyika usiku wa juzi club bilcanas ambapo kabla haijafika zamu ya Gelly kuperfome mc alitoa taalifa hizo
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment