Coming Soon:SAJNA KUACHIA NGOMA MPYA KARIBUNI..AMEWASHIRIKISHA C-SIR MADINI NA BEN PAUL
Msanii anayefanya vizuri kwenye game ya muziki wa bongo fleva anayejulikana kama SAJNA baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu hatimaye ameamua kurudi upya na safari hii akiwa na idea ya kuwashirikisha wasanii Ben Paul na C Sia madini.Ngoma hiyo inakwenda kwa jina la 'NINGUKUWA SINGLE' na imefanyika katika studio ya TETEMESHA chini ya producer KID BWAY ambae ndiye kama alimtambulisha Sajna kwenye game.Kwa mujibu wa Sajna mwenyewe ngoma hiyo itakuwa hewani kuanzia mwezi ujao.....
0 comments:
Post a Comment