Aliyekuwa msanii wa kundi maarufu la miaka ya 90 Kriss Kross amezikwa jana na wasanii kama Da Brat,baadhi ya member wa kundi la Escape na 'mentor' wake Produza Jermaine Dupri alikuwepo.
Da Brat aliyevaa kaptula
Tiny ambaye pia ni mke wa TI akiwa na msanii mwenzake wa Escape
Aliyekuwa msanii mwenzake katika kundi la Kriss Kross akionyesha hisia ya huzuni.
Produza Jermaine Dupri alienda msibani akiwa amegeuza nguo ili kuonyesha kumbukumbu ya jinsi msanii huyo na mwenzake walivyokuwa wakivaa nguo kwa staili hiyo ya kugeuza.
Enzi za uhai wake Chriss Kelly#RIP amefariki akiwa na miaka 34 na inasemekana kabla ya kifo chake alitoka kutumia Cocaine na Heroine.
0 comments:
Post a Comment