BEN PAUL & NGWAIR .......PROJECT HIIII YA WASANIII HAWA


King wa CHORUS Na RnB in TANZANIA kwa sasa, BEN POL yupo katika matengenezo ya ngoma nyingine na mwanamuziki mwenzie ... NGWAIR a.k.aCOWIZZY ...
Ngoma hiyo ambayo according to their conversations ni kuwa anaesubiriwa kwa sasa ili imalizike ni NGWAIR tu ...
Check maongezi haya katika YA BEN POL na NGWAIR ...
NGWAIR yuko nchini SOUTH AFRICA kwa sasa and hopefully anadondokaTANZANIA kama Tarehe 17 hivi ... When he's down here its BEN PIZZE naCOWWIZZY on this one ... Afu kama wameliamulia hivi SONG hili ...
Bado JINA la mdundo huo halijafahamika and we will soon close kuwafahamisha zaidi kuhusiana na wimbo huo ...
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment