Ruby amjia juu msanii huyu wa hip hop,soma hapa kujua kisa..


Mwanadada Ruby anayetamba na kibao cha forever amemjia juu msanii wa hip hop anayechipukia Motra the future baada ya Motra kulalamika kuwa Ruby amekataa kuonekana kwenye video ya wimbo wake wa one day aliomshirikisha na kudai kuwa Ruby anaringa kwa vile yeye ni staa.
Motra the future
Motra the future
Akionyesha kuchukizwa na maneno ya Motra the future,Ruby alifunguka na kusema hakupenda jinsi management ya msanii huyo ilivyomfuata na kuongeza kuwa haikuwa na ulazima wa yeye kuonekana kwani hata chorus yenyewe aliifanya kwa kumsaidia na hakuna chochote alicholipwa na pia yuko busy na project zake.
Wao walinambia kuwa wanataka kufanya video,lakini mimi pia ninafanya video zangu mbili ambazo zinanibana,pia jinsi walivyonifata na uongozi wake kana kwamba ilikuwa ni lazima wakati mimi nilifanya kama kumsaidia,sio kwamba alinilipa.Who is Motra kusema kwamba ananiforce tuka shoot hiyo video..Mimi nimemsaidia kulikobaki afanye mwenyewe” alifunguka Ruby
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment