Jay Z kamchagua huyu msanii kuwa CEO Wa Roc Nation Latin.

Award-winning singer Romeo Santos anayefanya kazi zake chini ya lebel ya Jay Z ‘Roc Nation’ amepewa shavu na bosi wake nakuchaguliwa kuwa CEO wa Roc Nation Latin,
Jay Z anasema ni muda Roc Nation ikatambua soko kubwa la muziki huko Latin America na kuchagua bosi atakaye simamia na kuwakilisha muziki kutoka Roc Nation na wasanii kutoka Latin America.
Santos atakuwa na kazi ya kutafuta na kunoa vipaji ilivifanye kazi na Roc La Familia na atapewa ushirikiano na meneja Johnny Marines.
 roc nation 2


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment