Rihanna
amejiunga na kipindi cha kutafuta vipaji cha ‘The Voice’ kama mshauri
wa majaji wa washindani. Rihanna atakuwa mshauri wa majaji wa kipindi
cha “The Voice.” kwenye msimu wa 9 unaorushwa na kituo cha NBC. Majaji
hao ni Pharrell Williams, Gwen Stefani, Adam Levine, na Blake Shelton.Msanii mwingine ni Missy Elliott ambaye atakuwa celebrity advisor kwa Pharrell Williams, Selena Gomez na kwa Gwen Stefani,John Fogerty kwa Adam Levine na Brad Paisley atakuwa mshauri kwa Blake Shelton.
0 comments:
Post a Comment