Kanye West [37], Rapa Kanye West sasa ataitwa Dr Kanye West baada ya
kutunukiwa shahada ya juu ya falsafa kutoka chuo cha Sanaa cha Chicago.
Kabla ya kupokea cheti hicho Kanye West aliokota chupa za maji
zilizotumika kwenye ukumbi huo kwanza na kwenda kupokea cheti chake.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment