Staa wa Nigeria Davdio ametangaza rasmi kuwa amefanya wimbo na staa
wa Marekani anayefanya rnb ‘Trey Songz’. Davido kwa sasa yuko
mbionikukamilisha collabo yake na rapa Meek Mill alitumia twitter kutoa
habari hizi.on Sunday (10 May).
Aliandika “ME AND @TreySongz RECORD LADIES GON LOVE THIS ONE!!!!”
Album mpya ya Davido itakuwa na wasanii wakubwa kama Akon, Flavour, Wale na P-Square.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment