MAMA MZAZI WA MEZ B AZUNGUMZA MENGI YA MAJONZI KUHUSU MEZ B, ASEMA MEZ B HAKUFANIKIWA KUPATA HATA MTOTO

Mama Mzazi wa aliyekuwa Msanii wa Kizazi Kipya
Marehemu Mez B ameelezea Sababu ya Kifo cha
Mez B kwamba ni Ugonjwa wa Pneumonia ambao
ulikuwa unamumbua siku nyingi.
Akizungumza  Mama yake Mez B
amesema Mez b amefariki Mapema saa Nne
Asubuhi nyumbani kwao huko Dodoma.
Katika Taarifa ya Mama Mzazi wa Mez B amesema
kuwa Mez B alilazwa na Kuruhusiwa Mara Kadhaa
katika Hospitali ya Mwananchi Dodoma na Juzi
juzi Alilazwa kwa takribani Siku 8 na baadae
Aliruhusiwa na Madaktari wakampa moyo kuwa
Atarudi katika hali yake ya Kawaida.
Vingine alivyovizungumzia Mama Mzazi wa Mez B
Ni Pamoja na Kuwa Mez B Hakuwahi Kufanikiwa
Kupata Mtoto.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment