Msanii mkongwe wa rap na mcheza filamu kuotka marekani,Ludacris ameenda mahakamani juu ya kesi inayo mkabili yeye na mchumba wake wa zamani.
Msanii huyo alie funga ndoa mwishoni mwa mwaka jana amekua na utata na penzi wake wa zamani Tamika Muller,ambae alizaa nae mtoto kwa sasa anaumri wa mwaka mmoja.
Uamuzi wa kufungua kesi ya madai ya mtoto ni baada ya mwana mama Tamika Muller kugoma kumpa mwanae kwa madai ya kwamba kipindi ana mimba hakua akimjali.
Baada ya kusikilizwa kwa kesi hiyo majaji walitoa uamuzi wa kesi hiyo na kuamua kwamba Luda ndie mzazi atakae mwangalia zaidi mtoto huyo mbali na Tamika Muller ambae waliachana nae.
Kwa sasa Ludacris anaishi na mke wake Eudoxie ambae walifunga nae ndoa mwishoni mwa mwaka jana
0 comments:
Post a Comment