Karrueche aonekana kwenye video mpya ya Chris Brown

Hii ni mara ya kwanza kwa mwana dada huyo Karrueche kuonekana katika video ya Chris Brown,mara baada ya kuwa na misuko suko katika mahusiano yao Chris amemuweka mwana dada huyo kucheza kama video queen.
. 
Video inaitwa Autumn Leaves akiwa ameshirikishwa Kendrick lamar.Video imeachiwa jana tarehe 22 january 2015
Kwenye wimbo huu wa Autumn Leaves unapatikana katika album yake ya X akiwa amemshirikisha Kendrick lamar  lakini hajaonekana kwenye video hiyo



 
Rasmi imeaachiwa jana katika tv stations
Whatch


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment