INASEMEKANA Darassa Kamwibia Dady Beda Kutokea Tanga IDEA Ya NYIMBO Pamoja na BIT SIKILIZA HAPA

streetconscious.blogspot.com
ZIKIWA ZIMEPITA SIKU CHACHE TANGU Darasa Alipo Achia Singer Yake Mpya Chini Ya Mikono Ya MR.T.Touch TunaishiNimepokea Malamko Kwa watu Tofauti wakidai Darasa Nyimbo aliyo iachia Kamwibia Dady Beda Msanii Kutokea Tanga Alikuwa Amemshirikisha Darasa Kwenye Hiyo ngoma Ya Dady Beda Baadae Dady Beda Akashangaa Darasa ametumia mistari yake pamoja na bit kwenye ngoma yake 
UNAWEZA KUISKILIZA/Download HIYO NGOMA HAPA CHINI

YA KWANZA NI YA Dady Beda alio Mshirikisha Darasa

http://old.hulkshare.com/dl/7fsoc7sgay2o/Dady_Beda_Ft_Darasa%5BDarassa_Ft.%20nay%20wamitego%20-%20tunaishi%5D?d=1
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment