Chris Brown & Tyga kuachia album yao mwezi ujao

Wakali hao wanao tamba kwa combinations zao zinazo shikilia namba nnzuri katika chart mbali mbali za vituo nchini Marekani na duniani kote wamesema album yao imesha kamilika na ipo tayari kuingia sokoni.
Rap Release Dates: Chris Brown & Tyga, Big Sean, Slim Thug, Curren$y 
Chris na Tyga wanao tamba na hits songs kibao moja walio iachia hivi karibuni iitwayo "Ayo" ambapo Chris ameimba na kuchana na pia Tyga kama kawaida yake ya kuchana,ngoma hiyo inafanya vizuri zaidi kwenye chart tofauti duniani kote.
Album hiyo inatarajiwa kutoka mwezi wa pili mwaka huu yaani tarehe 24/01/2015 inayo itwa"Fan of the fan the album
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment