Ommy Dimpoz kuachia video ya ‘Tupogo Remix’ Ijumaa hii, Jokate ndani


Ommy Dimpoz anatarajiwa kuachia video ya hit single yake ya mwaka jana ‘Tupogo’, lakini hii ni Remix ambayo imepigwa katika mtindo mwingine.

Jokate ndiye ‘mpenzi’ wa Ommy Dimpoz kwenye video hiyo iliyoongozwa na Adam Juma.
Umeshawahi kuona Mahaba ya Mswahili kwenye Treni? Subiri kesho ujionee kwenye – TUPOGO REMIX out tomorrow”- Ommy Dimpoz
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment