Good news:RAK STUDIOS
Kwa wanamitindo na wabunifu wa nyanda za juu kusini Fomu za kujisajili kushiriki Green City Fashion Week,Tukio kubwa la urembo na mitindo ziko tayari na zinapatikana, piga simu namba 0654079930 kwa maelezo zaidi. Mbeya hii ni time yenu.
Kauli mbiu ya tamasha hili ni Jitambue, jithamini, jiamini.Jipange kwa ajili ya tukio hili kubwa.

0 comments:
Post a Comment