YOUNG KILLER BAADA YA TUZO ZA KTMA SASA KIMATAIFA ZAIDI....AOTA KUFANYA KAZI NA BOW WOW

                                        
Mshindi wa tunzo ya msanii chipukizi alijinyakulia Tuzo yake majuma mawili yaliyopita katika Tuzo kubwa kabisa nchini Kilimanjaro Music Awards KTMA Young Msodoki Killer amesema ana ndoto pevu na kubwa kwa sasa kimuziki ni kufanya kazi na wanamuziki mbali mbali nje ya mipaka ya Tanzania

                                     
Young Killer Msodoki ,ameongeza kuwa kwa sasa anatamani sana kufanya kazi na Rapper Bow wow kutoka nchini Marekani.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment