Album moja inayowajumuisha wasanii wakubwa watano kutoka Nigeria akiwemo
Iyanya, Emmanyra, Tekno Selebobo na Baci "The Evolution" inatarajiwa
kuingia sokoni mwezi huu.
Wasanii hao ambao kwa pamoja wanajiita TripleMG wataingiza sokoni album hiyo yenye jumla ya nyimbo 14 ikifika May 29



0 comments:
Post a Comment