AT katika aibu nzito 2014, mganga aibuka na kudai Amekimbia na laki tisa zake!

1546040_478386945622617_1587868806_n
Msanii wa muziki wa kizazi kipya AT anashutumiwa kumtapeli mganga wake Dk Sharifaa akifunguka na kudai kuwa yeye ndio mganga wa A.T Huu ndio ujumbe wa Dk Sharifaa (Mganga)
‘‘Tangu bado hajafahamika yaani sio mwanamuziki mimi nilikutana naye Zanzibar Unguja,tena nakumbuka kwa mara ya mwisho alikuja na Gerry Rhymes lakini Gerry alikuwa afahamu kitu chochote, chakushangaza tangu nilipomfanikishia mahitaji yake maana mimi ni mganga basi amenisahau kabisa nikijaribu kumpigia simu hapokei mpaka anapokei tuzo anapata safari za kwenda muscat amenisahau mimi ninaomba anipatie vile vitu alivyoahidi kwangu anipatie,sio kwa ugomvi ila sheria zetu sisi waganga kwasababu hizi ni kazi namdai deni la laki tisa nikimpigia simu hapokei ndio maana nimekuja hapa kuripoti’Alisema Mganga huyo.
‘Vitu vingine nilivyomsaidia vipo vingi kwa mfano anapotarajia kuachia wimbo mpya basi anakuja na Cd kwangu na mimi nafanyia taaluma yangu ya Uganga mwisho wa siku unakuta nyimbo zake nyingi zinapamba.Mimi naitwa Doctor Shariffa
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment