Kaa tayari kwa ujio wa JAGUAR akimshirikisha OMMY DIMPOZ & AY

www.streetconscious.blogspot.com

Beb7fy4IIAA_PBz.jpg large
Jana kupitia account yake ya Twitter msanii kutoka Nairobi Kenya anajulikana kwa jina la JAGUAR amepost picha akiwa Studio za MJ Rec na wasanii wakubwa kutoka Tanzania Ommy Dimpozi pamoja na AY. Huku nikiyanukuu maneno yake aliyoyaandika
“In studio with A.y and Ommy dimples workin on a song comin out sooooon…thanx all for the support”
Inaonyesha kuna kitu kizuri kinapikwa hapo so mimi na wewe hatujui ni kitu gani ila tutulize masikio yetu tuone ni kitu gani hicho kitakuwa ndani ya collabo hili kutoka Kenya na Tanzania.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment