Arobaini hiyo inafanyika leo ikiwa ni takribani miezi sita tangu kifo chake kwa utaratibu wa kabila la Wangoni ambao hufanya arobaini za ndugu na jamaa katika ukoo kwa utaratibu maalumu na leo ndiyo zamu ya Ngwair! Taarifa zaidi pamoja na picha za tukio hilo zitawajia baadaye.Leo pia ni siku yake ya kuzaliwa na kama angekuwa hai angekuwa anatimiza umri wa miaka 31.....R.I.P BROO
NGWAIR DAY.....R.I.P

0 comments:
Post a Comment