STREETCONSCIOUS.BLOG
Mwana dada Miley Cyrus aliamua kutoa mpya safari hii katika tuzo za muziki wa Ulaya za 2013 MTV EMAs, baada ya kuapanda stejini kwenda kupokea tuzo aliyoshinda ya ‘Video of the Year’ na kisha kutoa msokoto uliokua na umbo kama la bangi na kisha kuuwasha na kuuvuta hadharani.
0 comments:
Post a Comment