KAA TAYARI KWA UJIO HUU MPYA KUTOKA KWA KALA JEREMIAH FT. NEY LEE "WALEWALE"


STREETCONSCIOUS.BLOG

Siku ya tarehe 20 mwezi huu rapper Kala Jeremiah anatarajia kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la WaleWale ambayo amemshirikisha mwwanadada Ney Lee. Siku hiyo Kala anatarajia kuachia audio na video kwa pamoja
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment