HUU NDIO UJIO MPYA WA NOORAH....
Baada ya kuwa kimya kidogo kwenye hii industry ya muziki wa kizazi kipya msanii maarufu kama Noorah ambae hapo nyuma alitamba na baadhi ya ngoma zake kama Ice Cream, Ukurasa Wa Pili, Lugha Gongana na nyinginezo.
Sasa mpya kutoka kwa msanii huyo ni kuarajia anatarajia kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Acha Ushamba.
Ambapo ndani ya ngoma hiyo Noorah amemshirikisha Dully Sykes na Chegge. Pia Acha Ushamba imetengenezwa ndani ya Studio ya Smart Music chini ya Producer Godfather Mbezi.
0 comments:
Post a Comment