Kupitia mtandao wa kijamii wa twitter, aliyekua rapper kutoka kundi la Bad Boys rapper Mase ametangaza kuawa anategemea kurudi kwenye game na kuachia album yake mpya ambayo itakua ni album ya nne tokea aanze kazi ya muziki, rapper huyo alikua kimya kwa muda wa miaka tisa na sasa amerudi tena na ujio wa album ambayo itabeba jina la Now We Even…
WWW.STREETCONSCIOUS.BLOGSPOT.COM
0 comments:
Post a Comment