-+www.streetconscious.blogspot.com
Msanii wa Hip Hop nchini Maereakani maarufu kama Future ameamua kumchumbia mpenzi wake Ciara ambay ni mkali wa miondoko ya R&B, Rapper huyo aliamua kumchumbia mpenzi wake huyo siku ya Birthday ya mwana dada huyo ambaye katimiza umri wa miaka 28 tarehe 25/10 . Wawili hao waliweka uhusiano wao hadharani mwanzoni mwa mwaka huu ambapo rapper future alisema kwamba waliamua kua katika mahusiano kwa sababu wanapenda kua pamoja na kuna mvutano mkubwa sana wa kimapenzi kila wanapokua pamoja
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment