Toronto rapper, Drake, alizaliwa October 24, 1986 huko Canada … siku ya jana Rapper huyo mwenye mafanikio makubwa kwa mwaka 2013 kupitia muziki wake especially Album yake mpya ya Nothing Was The Same amefikisha umri wa miaka 27 ….
[Photos] Hii Ni Rapper Drake Akisherehekea Birthday Yake …
WWW.STREETCONSCIOUS.BLOGSPOT.COM
0 comments:
Post a Comment